Aina: Mathnawi

Mathnawi ni shairi la vipande viwili (ukwapi na utao) katika kila mshororo. Mashairi mengi ya Kiswahili yametungwa kwa kutumia mtindo huu. Kati ya vipande hivyo viwili mshairi huainisha aghalabu kwa kutumia alama ya ‘koma’. Mwisho wa kila upande kwa kila mshoro kuna vina.