Aina: Nyangara Mayieka

Maureen Nyangara Mayieka ni mtunzi na mwandishi wa vitabu. Kwa sasa ni mwanafunzi wa Uzamifu katika Chuo Kikuu cha Pwani baada ya kuhitimu Uzamili katika Chuo cha Kenyatta.