Aina: Rashid Mwaguni

Rashid Mwaguni Mgute kutoka Jibana, Kaloleni, Kaunti ya Kilifi ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya Elimu na Sanaa katika masomo ya Kiswahili na Jiografia katika Chuo Kikuu Cha Moi (Ndaki ya Pwani).