Jifunze Kutunga Mashairi

Tarehe za Masomo: Hayana Mwisho
Tarehe za Kujiandikisha: Wakati Wowote
Wanaoweza Kujiandikisha: Anyone
Lugha ya Masomo: Kiswahili
Bei:  BURE

Kuhusu Masomo Haya

Lazima uingie kwanza kwa kutumia akaunti yako ili uwe mwanafunzi wa masomo haya. Iwapo bado huna akaunti unaweza kufungua akaunti yako ya Mwanagenzi Mtafiti au uingie kwa kutumia Facebook.

Akaunti

Kujaingia kwa akaunti yoyote. Ingia sasa  

Maelezo Zaidi:

Masomo haya ya "Jifunze Kutunga Mashairi" ni masomo yaliyoandaliwa kumfaa yeyote aliye na ari ya kutunga mashairi. Kwa masomo haya, mwanafunzi atasoma maelezo ya muhimu kuhusu utunzi wa mashairi. Kuna maswali baada ya kila somo na kabla ya kuhitimu mwanafunzi ataweza kutunga shairi lake. Hatimaye mwanafunzi atapata Hati ya Kuhitimu.

Muundo wa Masomo Haya

  • Somo la Kwanza
  • Somo la Pili
  • Somo la Tatu
  • Somo la Nne
  • Somo la Tano
  • Somo la Sita
  • Somo la Saba
  • Somo la Nane