Maudhui: Maisha

Nakula kwa Macho

Nakula kwa Macho

Kadri miaka inapo songa mbele, mwili hudhoofika. Mengi uliyoweza kutekeleza unaanza kushindwa. Shairi hili linaangazia machache ambayo nilikuwa nafanya lakini sasa kutokana na umri mkubwa nabaki kula kwa macho. Narai vijana wakumbuke kuwa leo ni yao lakini kesho itabadilika kwa hivyo wajipange mapema wasiwe kama mimi.

Read More Nakula kwa Macho