Takriri ni marudio ya sauti fulani za konsonanti au vokali au maneno katika mstari wa shairi.Ubeti ufuatao umenukuliwa kutoka kwa shairi linaloitwa “Onesha”. Mbinu ya takriri imetumiwa katika upande wa ukwapi.
Mfano: Onesha Onesha!
Mwalimu mwalimu, tenda ya mwalimu,
Nidhamu nidhamu, kitu cha muhimu,
Mwalimu mwalimu, vema uhudumu,