Maudhui: Ufisadi

Nchi Yetu Yazimia

Nchi Yetu Yazimia

Shairi hili lazungumzia unafiki wa viongozi wa taifa letu la Kenya na pia kulegea kwa serikali katika kutekeleza matakwa yake kama walivyoahidi wakati wa kampeni na vilevile jinsi upinzani ulivyozibwa midomo na serikali hivyo kutuacha bila mtegemezi na jinsi sote twasubiria kupata mkombozi wa kweli.

Read More Nchi Yetu Yazimia