Kimani wa Mbogo

Masomo Yote

Jifunze Kutunga Mashairi

Masomo haya ya “Jifunze Kutunga Mashairi” ni masomo yaliyoandaliwa kumfaa yeyote aliye na ari ya kutunga mashairi. Kwa masomo haya, mwanafunzi atasoma maelezo ya muhimu kuhusu utunzi wa mashairi. Kuna maswali baada ya kila somo na kabla ya kuhitimu mwanafunzi ataweza kutunga shairi lake. Hatimaye mwanafunzi atapata Hati ya Kuhitimu.

Jifunze Kutunga Mashairi

Mwalimu: Kimani wa Mbogo
01/01/2017
Kiswahili
BURE

Details

Hakuna Maoni

 1. Alvin Aron

  Asotaka la mkuu, guu lake alivunja,
  ‘sijione uko juu, kwazo fegi nazo ganja,
  Au kutaka makuu, kuruka vyote viwanja,
  Kumbuka u kuukuu, ipo siku utadanja.

  Safi sana, shairi tamu ndugu

  Jibu
 2. Abed

  guso la moyo yakini,
  guso lachoma moyoni,
  ni mshale wenye sumu,
  mrefu vujo la damu,
  kumbuko lililo kuntu,
  Gwiji wetu wa kibantu,
  Pahala pema ulale,
  Nasi twaja polepole.

  Jibu