Wanafunzi Wakigoma
Wanapogoma, wataharibu mali na chochote kilicho karibu nao. Watachoma gari, kuiba na kuchukiza wananchi. Wanafunzi wana mengi, ya kila aina. Wanafunzi Wakigoma
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi
Wanapogoma, wataharibu mali na chochote kilicho karibu nao. Watachoma gari, kuiba na kuchukiza wananchi. Wanafunzi wana mengi, ya kila aina. Wanafunzi Wakigoma
Wapo baadhi ya watu wasiopendezwa na utu. Hutenda kinyume cha matakwa ya binadamu. Anapotenda, jamii humgeuka na kumtendea, kijasho kikamtoka. Litazame shairi hili… Kijacho Kinapokuja
Shairi hili lilitungwa mwaka wa 2018 wakati elimu mfumo mpya ulianza. Je, mfumo wenye waendeleaje? Elimu Mfumo Mpya