Ninatangaza! Shairi hili lilichapishwa Januari 18, 2019 na Kĩmani wa Mbogo — Changia kwa maoni Piga moyo konde. Jipe nguvu maishani. Usife moyo, Mungu hatamsahau mja wake. Ninatangaza!