Uainishaji wa Mashairi

Mashairi ya Kiswahili huainishwa kwa kuzingatia masuala mbalimbali.

  1. Mpangilio wa vina
  2. Mpangilio wa maneno
  3. Idadi ya vipande
  4. Dhima ya shairi

Hapa tumeainisha mashairi ifuatavyo: