Aina: Kikwamba

Kikwamba ni shairi ambalo neno moja au kifungu cha maneno hurudiwarudiwa kutanguliza mishororo au ubeti katika shairi. Asili ya neno hili ni neno la Kiswahili ‘amba’ linalomaanisha kusema, kunena au kuzungumza. Madhumuni ya mtunzi kurudiarudia neno fulani ni kusisitiza ujumbe wake kwa kutumia neno hilo.

Ghala

Ghala

Ghala ni shairi linalozungumzia hali ya wakulima wengi hasa wakulima wadogo wadogo ambapo mazao yao yanakosa soko au bei huwa ndogo kiasi cha kuyarundika ndani siku hadi siku.

Read More Ghala