Za Umma Zaharibiwa
Mnaowachagua ni waroho, wafisadi na walio na ubinafsi. Wasiopenda wengine wakinufaika. Utatumia muda wako kwenda kuwachagua ila utabaki kulalamika tu. Ipo siku! Za Umma Zaharibiwa
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi
Mnaowachagua ni waroho, wafisadi na walio na ubinafsi. Wasiopenda wengine wakinufaika. Utatumia muda wako kwenda kuwachagua ila utabaki kulalamika tu. Ipo siku! Za Umma Zaharibiwa
Imekuwa kawaida yao. Lazima wachukue hongo kukuhudumia? Aidha unapokosea lazima umpe chai? Afande rushwa sitoi,naogopa ufisadi! Afande Hongo Sitoi