Siku Hiyo ya Kiama
“Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye hata malaika walio mbinguni wala mwana ila Baba peke yake.” Siku Hiyo ya Kiama
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi
“Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye hata malaika walio mbinguni wala mwana ila Baba peke yake.” Siku Hiyo ya Kiama
Siku ya kiama ikifika, kunao watalia. Wapo baadhi ambao wakuwa na furaha pia. Je, wewe utakuwa upande gani? Angani Ange Kuenga