Fumbo ni Kufumbua
Aliye na uwezo wa kufumbua ndiye gwiji. Fumbo si kusema tu. Fumbo si kufumba tu. Fumbo ni kufumbua. Fumbo ni Kufumbua
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi
Aliye na uwezo wa kufumbua ndiye gwiji. Fumbo si kusema tu. Fumbo si kufumba tu. Fumbo ni kufumbua. Fumbo ni Kufumbua
Je, umewahi kujiuliza ni kwa nini nyuki huunda asali na bungo huunda udongo? Sote hatufanani. Umuhimu wangu si umuhimu mwa mwengine. Tafakari hayo! Nyuki Kuunda Asali
Usiwe na hofu wala kuvunjika moyo. Ni kawaida ya mwanadamu kupitia mengi, magumu na ya kila aina. Maisha ni safari ndefu, maji hujaa na kupwa! Maisha Safari Ndefu
Lisemwalo lipo na kama halipo laja. Ni methali ya Kiswahili inayotambulika sana. Soma hili shairi linaloelezea mengi kuhusu ukweli huu. Lisemwalo Lipo
Usimcheke kilema! Si kutaka wala kupenda kwake. Uonapo u mzima shukuru Mungu. Hujui linalokusubiri. Afya ni majaliwa ya Mungu! Mcheka Kilema