Yesu Ndiye Njia
“Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.” Yesu Ndiye Njia
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi
“Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.” Yesu Ndiye Njia
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya! Mwimbieni Mwenyezi-Mungu, ulimwengu wote! Mwimbieni Mwenyezi-Mungu na kulisifu jina lake. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu. Yatangazieni mataifa utukufu wake, waambieni watu wote matendo yake ya ajabu. Wimbo Nitacheza
Unapompenda tu, jua ni yeye tu umependa. Usioneshe kila mtu hadharani, kwenye vyumba vya kuabudu au barabarani kwa watu wanaopita. Kupenda ni siri yako! Ashiki Wakati Usiofaa
Walisema jogoo wa mashambani hawiki mjini. Unapotoka mashambani na kuingia jiji, lazima uziwache tabia ulizokuwa ukifanya awali. La sivyo, watakucheka! Kuhama Kitongoji
Lakini Yosefu aliposikia kwamba Arkelao, mwanawe Herode, alikuwa mfalme wa Yudea mahali pa baba yake, aliogopa kwenda huko. Naye, baada ya kuonywa katika ndoto, alikwenda pande za Galilaya, akahamia katika mji uitwao Nazareti. Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyonenwa kwa njia ya manabii. Ataitwa Mnazarayo