Shairi ni Arudhi
Arudhi katika fasihi ni sehemu muhimu katika elimu ya utunzi wa mashairi. Hasa arudhi inaelezea vipengele vya mashairi kama beti, idadi ya mishororo, vina na mizani. Shairi ni Arudhi
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi
Arudhi katika fasihi ni sehemu muhimu katika elimu ya utunzi wa mashairi. Hasa arudhi inaelezea vipengele vya mashairi kama beti, idadi ya mishororo, vina na mizani. Shairi ni Arudhi
Ni wakati wa washairi kuwa makini ili kutetea fani ya ushairi. Wengine wametunga mengi yasiyofuata arudhi wakiyaita mashairi. “Pamoja tuunganeni, tuokoe ushairi.” Tuokoe Ushairi