Utoshelezi Utoshelezi ni hali ya kila mshororo na kila ubeti kuwa na maana kamili. Maneno ya mshororo mmoja wa shairi yanapaswa kueleweka bila kutegemea yale ya mistari mingine. Mizani Mshororo Muwala Nathari Shairi Ubeti Uhakiki Urari Utoshelezi Vina Vipande