Muwala Muwala ni mtiririko na mpangilio wa fikra/mawazo kutoka ubeti hadi ubeti zinavyopokezana kwa kufuatiliza kisa au tukio katika shairi. Muwala hupima ufundi wa mtunzi kulingana na alivyoyapanga mawazo yake. Mizani Mshororo Muwala Nathari Shairi Ubeti Uhakiki Urari Utoshelezi Vina Vipande