Zipi Haki Zangu?
Aitwaye mwananchi wa kawaida ana haki zake? Na kama anazo, anazielewa kweli? Lisome hili shairi… Zipi Haki Zangu?
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi
Aitwaye mwananchi wa kawaida ana haki zake? Na kama anazo, anazielewa kweli? Lisome hili shairi… Zipi Haki Zangu?
Wapo waotunga mashairi lakini jambo ni kwamba, wanatumia njia inayofaa? Washairi itawalazimu kukaa chini na kuzua mbinu zitakazoilinda fani hii kabla ya kuungua. Fimbo Niambie
Hamna haja ya kuzua vurugu kila wakati unapokosa tokeo ulilolisubiri. Wakati mwingine inabidi kutulia na kunyamaza. Sitandishi Vurumai
Usinibague kwa hali yangu. Aliye na uwezo na kunijua sana ni Mungu aliyeniumba. Yawache yangu na ukome kunibekua! Ubekuzi Wa Nini?
Hufai kunishutumu wala kunilaumu kwa tukio lililo kadri ya uwezo wangu. Yote ni yaMungu na yeye tu ndiye mwenye uwezo. Mbona Wanishutumu?