Mizani

Mizani ni ulinganifu wa idadi ya silabi katika kila kipande au mshororo wa ubeti wa shairi.

Tazama mshororo huu:

“Mola ndiye hutulinda, inapokuwa tuhuma.”

Tunagawanya mshororo huwa kwa vipande, utafahamu kuwa mshororo huu una mizani 16. Upande wa kwanza 8 na upande wa pili 8.

Tazama hapa:

Mo-la ndi-ye hu-tu-li-nda, i-na-po-ku-wa tu-hu-ma