Maoni ya Wanaosoma

Andika maoni yako kuhusu kazi hii ya ushairi

 
 
 
 
 
 
Alama ya nyota (*) inamaanisha sehemu hiyo ni lazima kujazwa.
Baruapepe yako haitachapishwa.
Maoni yako yatakuwa hadharani punde tu yanapoidhinishwa.
Tuna haki kuhariri, kufuta au kutoidhinisha maoni yako.
5 entries.
Rayking Rayking from Nairobi wrote on Mei 28, 2023 at 8:16 um
Kazi njema shukurani
Khairat Khairat from Zanzibar wrote on Aprili 11, 2023 at 5:15 mu
Ahsante kazi nzuri sana mungu akujaalie kipaji zaidi
Abdalla Ahmed Abdalla Ahmed from Mombasa, Kenya wrote on Julai 28, 2022 at 2:20 um
Langu ni shairi: Musione undani, Kimya kukithiri Mukaona ni kiburi, ama hasira za ngiri Au upunguaji wa akili, na mawazo kushadiki Ni mafunzo duniani, yamenifanya bwibwi sitambui tena asilani, wajaa kujali kila mtu yusafirini, makutano bandarini
Admin Reply by: Kĩmani wa Mbogo
Asante sana Abdalla Ahmed. Tuandikie kuwasiliana nami kwa baruapepe: mwanagenzi@gmail.com
kisaka mildred kisaka mildred from Nairobi wrote on Aprili 16, 2022 at 1:51 um
nashukuru sana ka ufafanuzi huu mola aajaze maarifa zaidi ya haya
Admin Reply by: Kĩmani wa Mbogo
Asante sana Kisaka kwa mchango wako wa maoni.
Neema Msimbo Neema Msimbo from Dodoma wrote on Febuari 14, 2021 at 11:20 um
Kazi jema sana. Nashukuru msimamizi wa hii tovuti. Nimejifunza mengi kuhusu ushairi wa Kiswahili. Pia nimesoma mashairi kwa wingi. Asante sana.
Admin Reply by: Kĩmani wa Mbogo
Asante sana na karibu.