Akajitie Kitanzi
Tenda wema nenda zako! Wakisema, waache waseme. Jitie hamnazo! Usikose kutenda yako kwa sababu ya adui asiyekufaa wala asiyekulisha. Iwapo anacho kinyongo, mwache akajinyonge! Akajitie Kitanzi
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi
Tenda wema nenda zako! Wakisema, waache waseme. Jitie hamnazo! Usikose kutenda yako kwa sababu ya adui asiyekufaa wala asiyekulisha. Iwapo anacho kinyongo, mwache akajinyonge! Akajitie Kitanzi
Wema hupatikana wapi? Mshairi hapa amehangaika akitafuta wema ila hajaupata. Je, wema upo? Wema Siupati
Usimcheke kilema! Si kutaka wala kupenda kwake. Uonapo u mzima shukuru Mungu. Hujui linalokusubiri. Afya ni majaliwa ya Mungu! Mcheka Kilema