Vipande

Vipande ni sehemu za mshororo ilivyogawanywa kwa alama ya kituo (,). Kila kipande kina jina lake kama inavyoelezewa hapa chini.

  • Ukwapi – kipande cha kwanza katika mshororo.
  • Utao – kipande cha pili katika mshororo
  • Mwandamo – kipande cha tatu katika mshororo
  • Ukingo – kipande cha nne katika mshororo