Ni Patulivu Ziwani
Kazi inapozidi, mwanadamu huumia kwa mawazo na kukosa muda wa kupumzika. Wapo baadhi ya watu ambao huelekea ufuoni mwa ziwa au bahari kubarizi. Ni Patulivu Ziwani
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi
Kazi inapozidi, mwanadamu huumia kwa mawazo na kukosa muda wa kupumzika. Wapo baadhi ya watu ambao huelekea ufuoni mwa ziwa au bahari kubarizi. Ni Patulivu Ziwani
Fikiri kuhusu mandhari yenye hewa safi. Kila mwananchi hupendezwa na eneo safi anakoishi. Lisome shairi hili lenye sifa si haba za jiji… Sifa za Jiji
Unapoliona wingu jeusi, si maana kwamba mvua itanyesha. Inapoiona dalili, si lazima iwe ishara ya jambo fulani kutendeka. Ukweli huu unadhibitishwa na shairi hili. Wingu Jeusi Kutanda
Mandhari Yapendeza. Ni shairi la msuko linaloisifia mandhari na kumsifu Mungu kwa kuipamba. Mandhari Yapendeza
Kupanda miti kwa njia inayofaa kuna manufaa kwa wingi. Mandhari huwa ya kupendeza, mvua hupatika, dawa na mengine kadha wa kadha. Kuwa katika mstari wa kwanza kuhakikisha raslimali asili imelindwa kikamilifu! Rasilimali