Yawaje Kinda Alinda?
Kinda hulisha na kuongozwa. Hana uwezo wa kuongoza ama kulinda. Anapolinda kiota huenda kikawa mashakani. “Yawaje kinda alinda, kiotani mna nini?” Yawaje Kinda Alinda?
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi
Kinda hulisha na kuongozwa. Hana uwezo wa kuongoza ama kulinda. Anapolinda kiota huenda kikawa mashakani. “Yawaje kinda alinda, kiotani mna nini?” Yawaje Kinda Alinda?
Je, umewahi kufikiria nchi bila ukabila, ubaguzi au uhasama? Wakati nchi yetu itakuwa na amani ndivyo wazalendo wataifurahia haki yao na kupendezwa na uzalendo wao. Tuudumishe Umoja
Wapo walio na uwezo wa kuamba ila huogopa walumbi na magwiji wa kusema. Shairi hili linazinduaaliye na uwezo kwa kumppa ujasiri. Lumba Utifue Vumbi
Usijifanye kasuku kuiga kila jambo. Yawache ya wengine. “Unavyopenda kuiga, kutwa moja utajuta” Kutwa Moja Utajuta
Huwi mswahili kwa kuzaliwa uswahilini. Tabia tu ndizo zitafanana lakini asili yako itabaki. Lisome shairi hili… Katu Huwi Mswahili