Sitandishi Vurumai
Hamna haja ya kuzua vurugu kila wakati unapokosa tokeo ulilolisubiri. Wakati mwingine inabidi kutulia na kunyamaza. Sitandishi Vurumai
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi
Hamna haja ya kuzua vurugu kila wakati unapokosa tokeo ulilolisubiri. Wakati mwingine inabidi kutulia na kunyamaza. Sitandishi Vurumai
Usivunjike moyo kwa lolote linalokukabili. Wakati mwingine utavunjika moyo lakini hujui lijalo kesho. Leo utateseka lakini kesho huenda ukawa na heri njema. Heri Njema Iwe Kwako
Unapompenda tu, jua ni yeye tu umependa. Usioneshe kila mtu hadharani, kwenye vyumba vya kuabudu au barabarani kwa watu wanaopita. Kupenda ni siri yako! Ashiki Wakati Usiofaa
Usinibague kwa hali yangu. Aliye na uwezo na kunijua sana ni Mungu aliyeniumba. Yawache yangu na ukome kunibekua! Ubekuzi Wa Nini?
Kazi yote unayoifanya, ifanye kwa uwezo wako wote na bidii. Wacha kila mtu akutambue kwa uwezo wa kazi yako. Tuonyeshe…