Aina: Msuko

Msuko ni shairi ambalo kibwagizo/mshororo wa mwisho ni mfupi kuliko mishororo mingineyo. Kama (6,6) (6,6) (6). Neno hili linatokana na neno ‘suka’ lenye maana ya hali kadri ya kuridhisha. Mshairi basi hufupisha kibwagizo chake.