Mwanakikosi Ayumbaye
Wakati mwingine askari hukosa ujasiri wa kutosa. Hutegemea silaha alizo nazo na Mungu wake tu. Kila wakati hujilinda na kujaribu kadri ya uwezo wake. Mwanakikosi Ayumbaye
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi
Wakati mwingine askari hukosa ujasiri wa kutosa. Hutegemea silaha alizo nazo na Mungu wake tu. Kila wakati hujilinda na kujaribu kadri ya uwezo wake. Mwanakikosi Ayumbaye
Usinibague kwa hali yangu. Aliye na uwezo na kunijua sana ni Mungu aliyeniumba. Yawache yangu na ukome kunibekua! Ubekuzi Wa Nini?
Kupanda miti kwa njia inayofaa kuna manufaa kwa wingi. Mandhari huwa ya kupendeza, mvua hupatika, dawa na mengine kadha wa kadha. Kuwa katika mstari wa kwanza kuhakikisha raslimali asili imelindwa kikamilifu! Rasilimali
Katika nyakati za ukoloni wengi waliteseka na kupoteza mali yao. Wakoloni hawakujali lolote au yeyote. Walitekeleza tendo lao la kuwanyanyasa Waafrika na kuwatumia tu kama chombo ili kujinufaisha. Mjoli Mtukutu