Wengine Wanitamani!
Usinidharau kwa kunitazama tu. Unavyoniona kama sifai, wapo wengine wanaoujua wema wangu. Ni kwako sina la wema, wengine wanitamani! Wengine Wanitamani!
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi