Nifanyalo hulioni
Kunao baadhi ya watu hawapendezwi na chochote unachokifanya. Usivunjike moyo. Watakudharau tu leo lakini kesho watakuhitaji. Tenda wena nenda zako! Nifanyalo hulioni
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi
Kunao baadhi ya watu hawapendezwi na chochote unachokifanya. Usivunjike moyo. Watakudharau tu leo lakini kesho watakuhitaji. Tenda wena nenda zako! Nifanyalo hulioni
Binadamu huteseka anapoitafuta riziki. Anao watoto kulea. Ana mengi kushughulikia. Limsaidialo ni jitihada zake na bidii. Ngumbi Watesekao
Kupanda mchongoma kushuka ndio ngoma. Mchongoma ni mti wenye mimba ambao upandwa kama ua mwisho wa shamba. Ukiupanda uingie shamba la mtu ili ufuate matunda fulani basi wakati shuka na kuondoka utadungwa na mimba mpaka utajutia kitendo cha kupanda. Kuupanda Mchongoma
Unapomtakia mwenzako mema, bila shaka atafurahia na kuwa na moyo wa kuendelea licha ya changamoto atakazozipata. Koja la Ushindi
Lakini Yosefu aliposikia kwamba Arkelao, mwanawe Herode, alikuwa mfalme wa Yudea mahali pa baba yake, aliogopa kwenda huko. Naye, baada ya kuonywa katika ndoto, alikwenda pande za Galilaya, akahamia katika mji uitwao Nazareti. Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyonenwa kwa njia ya manabii. Ataitwa Mnazarayo