Rununu kwa Vilema
Unapoitumia rununu yako, jiulize atakavyoitumia bubu au kiziwi. Shairi hili la beti tatu linaelezea mengi. Rununu kwa Vilema
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi
Unapoitumia rununu yako, jiulize atakavyoitumia bubu au kiziwi. Shairi hili la beti tatu linaelezea mengi. Rununu kwa Vilema
Mwanadamu hawezi kuchungwa kama kondoo. Ana yake mengi ya kufanya angaa apate riziki yake. Mwache atarazaki! Achungwaye ni Ng’onzi
Lisemwalo lipo na kama halipo laja. Ni methali ya Kiswahili inayotambulika sana. Soma hili shairi linaloelezea mengi kuhusu ukweli huu. Lisemwalo Lipo
Hata waseme nini, umpendaye unampenda. Hili ni shairi la mahaba. Mtunzi anamsifu mpenzi wake kwa maneno anayodai yanatoka moyoni mwake. Lisome shairi lenyewe. Ninakupenda Mpenzi Wangu
Ilikuwa usiku mmoja wa Jumapili tukichoma tambara kufukuza siafu. Haikuwa rahisi. Moshi si moshi. Hofu kwa afya. Ndipo hili shairi likawa. Dominika Usiku