Halibari Baharini
Halibari ni mchafuko wa bahari. Kama halibari inavyowakumba wasafiri wa vyombo vya baharini, ndivyo mwanadamu hukumbwa na mengi maishani. Mengine yakiwa makubwa karibu kuzama. Halibari Baharini
Kitovu cha Ushairi, Washairi na Mashairi
Halibari ni mchafuko wa bahari. Kama halibari inavyowakumba wasafiri wa vyombo vya baharini, ndivyo mwanadamu hukumbwa na mengi maishani. Mengine yakiwa makubwa karibu kuzama. Halibari Baharini
Tenzi ni tungo ndefu za ushairi zinazoelezea juu ya mambo fulani na huwa na pande moja katika utenzi wake (yaani huwa na vina vya Kati tu). Tenzi huweza kuwa na mpangilio wa silabi zinazolingana katika kila mstari pia haufuati urari wa mizani katika mshororo wake. Soma utenzi huu wa Lawaridi. Utenzi: Lawaridi
Mwanadamu hawezi kuchungwa kama kondoo. Ana yake mengi ya kufanya angaa apate riziki yake. Mwache atarazaki! Achungwaye ni Ng’onzi
Maisha yako yamo mikononi mwa Mungu. Uwapo hai, shukuru Mungu kwa sababu la kesho halijulikani. Unapoifanya kazi yako, ifanye kwa bidii zote ukijua kunaye hana uwezo kwa sababu ya afya. Leo tu nina uhai
Hufai kunishutumu wala kunilaumu kwa tukio lililo kadri ya uwezo wangu. Yote ni yaMungu na yeye tu ndiye mwenye uwezo. Mbona Wanishutumu?